Man United watoa paundi mill 14 kwa PSV.


Strootman

Manchester United wanatarajia kutoa paundi mill 14 kwa Klabu ya PSV ili kuweza mpata kiungo wao aitwaye Kevin Strootman.

Sir Alex amekuwa akimfuatilia Kiungo huyo kwa mda mrefu sasa baada ya mwelekeo wa Darren Fletcher haueleweki kutokana na kuumwa kwake.

Strootman ni miongoni mwa wachezaji wa Uholanzi ambao wanashiriki katika mashindano ya UERO 2012. Kiungo huyo anawaswas na namba yake katika timu yake PSV baada ya nahodha wa timu ya taifa Mark van Bommel kurudi katika timu hiyo.

Kurudi kwa Van Bommel kutaisaidia Man Utd kuweza mpata kiungo huyo ambaye uchezaje wake unafananishwa na Roy Keane.

Ingawaje United wanatarajia msajili Kiungo mchezeshaji wa Tottenham Luka Modric bado wanatatizo katika nafasi ya kiungo mkabaji ambako hapo ndipo Strootman atahitajika kuja ziba pengo hilo.

Fletcher mpaka leo haijajulikana ni lini atakuwa yupo tayari kurudi tena uwanjani kutokana na majeruhi yake, hivyo kumpelekea Ferguson kufanya kila awezalo ili ampate Strootman.

Chanzo: Dailymirror 

Advertisements

Posted on June 9, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: