Modric njiani kuelekea Man Utd.


Modric

Kocha wa Man Utd Sir Alex Ferguson ametoa paundi mill 25 kwa Klabu ya Tottenham na kusema bei itapanda mpaka 30 kulingana na idadi za mechi atakazo cheza na uwezo wake uwanjani.

Modric atapewa mkataba wa miaka minne ambao utampatia kiasi cha paundi mill 26.

Atakuwa anapokea mshahara wa paund 125,000 kwa wiki na kumfanya kuwa miongoni mwa wachezaji wanaolipwa fedha nyingi katika ligi.

Mchezaji huyo amekuwa akiwasiliana na muwakilishi wake huku akiwa katika kambi ya Crotia inayojiandaa na EURO na kutarajiwa kuja kumalizia uhamisho huo baada ya mashindano ya EURO.

Sir Alex amemsajili kiungo Shinji Kagawa mwanzoni mwa wiki hii na sasa anatarajia kukamilisha uhamisho wa Modric huku uhamisho wa Tiote wa Newcastle na Baines ukifuatia.

Chanzo: theSUN

Advertisements

Posted on June 8, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: