Man Utd wamkosa Alba .


Jordi Alba (kulia)

Timu ya Man Utd imeshindwa katika mbio za kumuania mchezaji wa Valencia Jordi Alba baada ya Barcelona kuingiza mkono wake na kuonekana mchezaji huyo atajiunga na Barca na kuitosa Man Utd.

Beki huyo wa kushoto amezivutia Klabu nyingi za Ulaya ikiwemo Man Utd lakini upepo umegeuka na kuonesha ya kuwa mchezaji huyo atajiunga na Barca siku za hivi karibuni.

Mchezaji huyo kwa sasa yupo Poland na Timu ya taifa ya Hispania akijiandaa tayari kwa mashindano ya EURO, pamoja na maandalizi hayo Barca bado wameendelea kumfuatilia.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 ataigharimu Barca paundi mill 10.

Chanzo: Talksport

Advertisements

Posted on June 8, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: