Man United yamsajili Henriquez.


Henriquez (kushoto)

Man Utd wametoa kiasi cha paundi mill 3 kwa ajili ya kumpata mshambuliaji wa Chile Angelo Henriquez ambaye ana umri wa miaka 18.

Mchezaji huyo amekuwa akifuatiliwa na United kwa takribani mwaka mmoja sasa, mchezaji huyo ameweza funga magoli 8 katika mechi 10 kwa timu yake ya taifa ya umri wa chini ya 18.

United wanatarajia kupata kibali cha kumruhusu mchezaji huyo kuja kuchezea Uingereza na kama hilo litashindikana basi itabidi mchezaji huyo apelekwe kwa mkopo katika Klabu nyingine za Ulaya mpaka atakapoweza chezea timu yake ya Taifa.

Henriquez ameanza cheza mpira rasmi mwaka 2007 akiwa na umri wa miaka 13 hii ni baada ya kuachana na mchezo wa tennis ambao ndio alikuwa akiucheza mwanzo.

Mchezaji huyo jina lake linafahamika sana America ya kusini kutokana na uwezo wake wa kumiliki mpira na kuwa na nguvu sana.

Man utd wanategemea mengi ya kufurahisha toka kwa kijana huyo kama ilivyokuwa kwa Javier Hernandez.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 8, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: