Lewandowski atua Man Utd..?


Lewandowski

Maneno yanayosambaa katika intaneti yanaonesha ya kuwa Kocha wa Poland Franciszek Smuda anaamini ya kuwa mshambuliaji wake ambaye pia anaichezea Klabu ya

Borussia Dortmund Robert Lewandowski anaelekea panapo Klabu ya Manchester United. Hii itakuwa ni changamoto sana kwa mshambuliaji huyo kuweza fanya vizuri katika mashindano ya UERO.

Man Utd wanahitaji mshambuliaji baada ya kumuachilia Michael Owen na huku Berbatov akiwa njiani kuondoka. Javier Hernandez hakucheza vizuri msimu huu ulioisha na kumfanya Rooney na Welbeck ndo kuwa nguzo ya mashambulizi.

Mchezaji huyo wa Poland amefunga magoli 30 katika mechi 46 alizocheza msimu ulioisha na Klabu yake ya Dortmund na kuisaidia timu hiyo ya Jurgen Klopp kutwaa ubingwa wa Ujerumani kwa mara ya pili mfululizo. Ferguson alihudhuria Fainali ya DFB pokal final ambako Lewndowski alifunga magoli matatu (hat-trick) na kuisaidia Dortmund kuilaza Bayern kwa magoli 5-2.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on June 8, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. 3 Comments.

  1. sasa hawa man utdt wanataka sifa

  2. I see your point, and I totally appreciate your article. For what its worth I will tell all my friends about it, quite resourceful. Later. 902671

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: