Diame kwenda Liverpool..?


Mohamed Diame

Uhamisho wa mchezaji wa Wigan Mohamed Diame ambaye sasa hivi ni mchezaji huru kuelekea Klabu ya Liverpool sasa umepamba moto tena.

Diame ambaye ameichezea Klabu ya Wigan katika msimu wa 2011/12 na sasa baada ya kuwa mchezaji huru klabu nyingi zimekuwa zikimuwinda Msenegal huyo.

Uhamisho wa kwenda Liverpool ulionekana kufa mwanzoni baada ya kufukuzwa kwa Dalglish lakini kocha mpya ameamua kumfuatilia mchezaji huyo na kupanga mokakati ya kumsajili.

Hata hivyo Liverpool itapigana vikumbo na klabu nyingi ili kuweza pata saini ya mchezaji huyo,  miongoni mwa klabu hizo ni Aston Villa.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on June 8, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: