West Ham wanyemelea Benayoun na Yacob.


Yossi Benayoun (kushoto)

Yossi Benayoun anatarajwa kutangaza kuondoka kwake Chelsea wiki hii na Klabu za West Ham, Ajax na Maccabi Haifa zote zamnyemelea.

Muizraeli huyo ambaye msimu ujao wote alikuwa kwa mkopo katika Klabu ya Arsenal, amesema kupitia mtandao wa Twitter kuwa,
“Natarajia kuwa na taarifa kuhusiana na wapi ntakuwepo msimu ujao siku  chache zijazo”

West Ham pia wameonesha nia ya kumsajili Kiungo wa kiargentina Claudio Yacob mwenye umri wa miaka 24 ambaye sasa ni mchezaji huru baada ya kuondoka Klabu ya Racing.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: