Tevez amfukuzisha Dzeko.


Mancini na Tevez

Tevez mchezaji ambaye aliyekuwa analilia kuihama Klabu yake ya Man City sasa aamua kubakia Klabuni hapo na hana mpango wa kuihama Klabu hiyo.

Kubakia kwa Tevez kunamaanisha Edin Dzeko anatakiwa aondoke.

Tevez ambaye miezi iliyopita alikuwa anataka kuihama Klabu hiyo kutokana na kutoelewana na Kocha wake Roberto Mancini, ameamua kubadilisha maamuzi na kusema hana mpango tena wa kuihama Klabu hiyo,
“Nimechangia katika upatikanaji wa Kombe la Ligi ya Uingereza kwa Man City. Kwani nlipokuwa nimerudi Man City walikuwa pointi 5 nyuma ya Man Utd na kila mtu alijua Utd kashakuwa bingwa. Kwa kweli nlimaliza msimu nkiwa na furaha na pia Familia yangu inauraha”. Alisema Tevez.

Kubakia kwa Tevez na kwa Mancini kumtaka Robin Van Persie inamaanisha Dzeko yuko njiani kuondoka Klabuni hapo.

Dzeko

“Ninafuraha katika Ligi hii ya Uingereza lakini hakuna anayejua ya mbele, kwa hiyo tusubirie tuone” alisema Dzeko.

Chanzo: Dailymirror

Advertisements

Posted on June 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: