Steve Clarke atua West Brom.


Clarke

Aliyekuwa kocha msaidizi wa Kenny Dalglish, Steve Clarke anatarajiwa kuwa kocha wa Timu ya West Brom baada ya kuamua kuhama Liverpool.

Clarke mwenye umri wa miaka 48, anatarajiwa kuchugua mikoba iliyoachwa na kocha wa Timu ya Taifa Roy Hodgson hapo West Brom ya kuinoa timu hiyo na inasemekana atasaini mkataba wa miaka mitatu (3) ambao utakuwa unampatia kiasi cha paundi mill 1 kwa msimu.

Msaidizi huyo wa Kenny, ameshawahi kuwa kocha msaidizi pia katika Klabu za Newcastle, Westham na Chelsea.

Umoja wa makocha Uingereza umethibitisha ya kuwa Steve Clarke ameacha kazi Liverpool siku ya Jumatano na Liverpool wamekubaliana na West Brom kulipwa kiasi cha paundi 750,000 kwa ajili ya kocha huyo.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: