Roy Hodgson awa Nabii.


ROY MUOKOZI

Sanamu kubwa lenye picha ya kocha wa Timu ya Taifa ya Uingereza Roy Hodgson latengenezwa kwa dhumuni  la kuwapa nguvu wachezaji na timu nzima ya Uingereza.

Sanamu hilo la Roy lenye urefu wa futi 100 liitwalo “Roy the Redeemer” ikiwa na maana Roy muokozi. Sanamu hilo lipo katika vilima vya White Cliffs .

Sanamu hilo limetengenezwa kwa kufananishwa na sanamu la Yesu lilipo Brazil katika mji wa Rio de Janeiro huku sura ya Yesu ikitolewa na kuwekwa sura ya Roy Hodgson.

Kazi hiyo ya kulitengeneza sanamu hilo limefanywa na kampuni ya Paddy Power na ikitarajiwa kuwa itawapa nguvu timu ya taifa ya Uingereza kuweza kufanya vyema katika mashindano ya UERO. Paddy Power wanatarajia sanamu hilo pia litakuwa alama ya matumaini na mafanikio hata kwa mashabiki.

Msemaji wa kampuni hiyo Ken Robertson amesema,
“Brazil walitengeneza sanamu la Yesu katika mji wa Rio de Janeiro mwaka 1931 na matokeo yake Brazil ikaja kuwa mabingwa wa dunia na sie twategemea kutengeza sanamu hili kutapelekea mafanikio kuwepo katika timu yetu”.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: