Niko Kranjcar atua Dynamo Kiev.


Niko Kranjcar

Dynamo Kiev wametangaza kuwa wamemsajili mchezaji wa timu ya Tottenham Niko Kranjcar..

Mchezaji huyo mwenye asili ya Crotia alisema mwanzoni mwa wiki hii ya kuwa swala lake la uhamisho lingejulikana baada ya mashindano ya UERO lakini yaonesha Kiev wameshindwa kusubiri na kuamua kutangaza katika website yao.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 ameichezea timu ya Spurs mechi 49 tu na kuweza kufunga magoli 9 tokea alipojiunga na timu hiyo akitokea Portsmouth kwa ada ya paundi mill 2.5 mwaka 2009.

Mchezaji huyo aliifngia magoli muhimu Tottenham na kuifanya timu hiyo kuweza fuzu kushiriki mashindano ya Champions League msimu wa 2010/11.

Msimu huo wa 2010/11 mchezaji huyo hakupewa nafasi za kutosha za kucheza huku kocha wake Redknapp akiwachagua Bale, Van der vaart na Modric badala yake.

Kiasi kilichotolewa na Kiev kinasemekana kuwa ni paundi mil 7.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on June 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: