Defoe arudi nyumbani na kuiacha Euro.


Jermaine Defoe

Jermain Defoe amerudi nyumbani Uingereza baada ya kupata habari ya kuwa Baba yake aitwaye Jimmy mzazi amefariki dunia.

Mchezaji huyo anayechezea timu ya Tottenham anaweza kosa mechi ya ufnguzi ya timu yake dhidi ya Ufaransa baada ya kupewa ruhusa kuondoka Poland ili kurudi Uingereza kwa ajili ya msiba.

Defoe ni miongoni mwa wachezaji 23 wa timu ya taifa ya Uingereza ambao siku ya jumatano waliwasili Krakow kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya UERO.

Shirikisho la soka la Uingereza FA nalo limetoa maelezo kwa kusema, “Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uingereza Jermain Defoe amerudi Uingereza asubuhi ya leo kwa ajili ya msiba wa baba yake mzazi. Jermain atajiunga tena (atarudi poland) na timu ya taifa pindi atakapokuwa yupo tayari na hakuna mchezaji atakaye itwa kwa ajili ya kuziba pengo lake”

Jimmy baba wa Defoe

Inasemekana baba wa mchezaji huyo alikuwa anaumwa tokea mda mrefu sasa na amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 49.

Timu ya Defoe Tottenham nao pia wametoa rambirambi zao kwa Defoe.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: