Arsenal wanamfuatilia mshambuliaji wa Malaga.


Salomon Randon

Timu ya Arsenal ya jijini London Uingereza inamfuatilia kwa karinu mshambuliaji wa timu ya Malaga Salomon Randon, ambaye msimu ulioisha ndio alikuwa mfungaji bora katika timu yake ya Malaga. Inasemekana Timu ya Malaga haitomuachia mchezaji huyo mpaka ilipwe  kiasi cha paundi mill 20 kwenda juu ndo itaweza muachia mchezaji huyo aondoke.

Randon alikuwa anagombania namba na Ruud Van Nistelrooy na matokeo yake akafanikiwa kumuweka benchi Nistelrooy na kupelekea hata mchezaji huyo kustaafu.

Malaga wamemaliza katika nafasi ya nne na hivyo kufanikiwa kufuzu kucheza mashindano ya UEFA, huku Randon akifunga magoli 11 katika ligi.

Arsenal wanataka kumnunua mchezaji ambaye hatozidi paundi mil 15 ambako wachezaji kama Seydou Doumbia, Fernando Llorente and Olivier Giroud wote wakifuatiliwa kwa karibu na Arsenal.

Chanzo: Footylatest

Advertisements

Posted on June 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: