Toka Balotelli mpaka Barwuah Balotelli.


Barwuah Balotelli

Mario Balotelli anataka jezi yake atakayo itumia katika mashindano ya UERO iandikwe majina yote mawili ya Familia yake.

UEFA imedhihirisha ya kuwa mchezaji huyo wa Man City mwenye umri wa miaka 21 ametaka jina lake liandikwe Barwuah Balotelli katika jezi yake atakayoitumia katika mashindano hayo.

Balotelli alizaliwa Sicily kwa jina la Mario Barwuah na wazazi wake wenye asili ya Ghana.

Jina la Balotelli alilipata kutokea kwa wazazi wake wa kambo ambao wanaoishi Brescia na wazazi hao ndio waliomlea Mario mpaka kukua kwake.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 6, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: