Tevez ataka kustaafia Boca


Carlos Tevez

Straika wa Manchester City, Carlos Tevez amesema hana hamu yoyote ya kuondoka klabuni hapo na anaota amalizie kipaji chake  na watoto wa Boka..

Muagentina huyo alikuwa na kimbembe msimu uliopita baada ya kusimamishwa kwa miezi mitano kutokana na kutoelewana na kocha wake.

Tevez alirudi klabuni na kumuomba msamaha muitaliano yule na hata kucheza mechi iliyosaidia kuwachapa majirani zao Manchester United.

Kwasasa yupo nyumbani kwake Argentina na aliongea kuhusu mikakati yake, katika hafla iliyoandaliwa na Boca .

‘Matumaini yangu makubwa ni kumaliza soka nikiwa na tisheti ya Boca’.

‘Naendelea kufikiria kama nilivyokuwa nafikiria kipindi naondoka, nataka kustaafu hapa. Nipo kwa chochote Boca watachohitaji’.

‘Ila ukweli ni kwamba ni nimemaliza msimu huu kwa furaha hapa Uingereza’.

Chanzo: SkySports

Advertisements

Posted on June 6, 2012, in Mpira. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: