Sigurdsson aitaka Liverpool.


Sigurdsson

Kiungo mwenye asili ya Iceland Gylfi Sigurdsson amedhihirisha ya kuwa anataka kwenda Liverpool kuungana tena na kocha wake wa zamani Brendan Rodgers hii ni baada ya kusema hatojiunga na Swansea.

Wiki iliyopita Swans walikubaliana na klabu mama ya Sigurdsson Hoffenheim kuweza kumnunua mchezaji huyo kwa ada ya paundi mil 6.8 kilichokuwa kimebakia kilikuwa ni vipimo tu. Lakini kuondoka kwa Rodgers kumepelekea uhamisho huo kuingia dosari na mchezaji mwenyewe kugoma kujiunga na Swans.

” Mpaka sasa sijafahamu ni Klabu ipi  ntaichezea msimu ujao. Ningependa kuendelea kuichezea Swans lakini baada ya kuondoka kwa Rodgers hali ya hewa pia imebadilika, kutokana na hilo sitarajii kuendelea tena kuwa Swans kwasababu mambo hayaeleweki na mpaka sasa bosi hajajulikana atakuwa nani.
Ninachotaka ni kuendelea kucheza katika Premier League na wazo la kujiunga Liverpool lipo kabisa kwamaana Liver ni Klabu kubwa sana na ina historia kubwa pia”. Alisema Gylfi Sigurdsson.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 6, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: