Pandev Ahamia Napoli


Goran Pandev

Napoli wamemaliza kumsajili fowadi wa Inter Milan Garan Pandev kwa dau la paundi milioni 6.4…

Mmacedonia huyo ambae alikuwa kwa mkopo Itali, aliiwezesha klabu hiyo kuchukua kombe la Copa mwezi uliopita.

Kijana huyu mwenye miaka 29 amesema amemaliza kusaini mkataba wake wa miaka mitatu na ataitumikia klabu vilivyo.

‘Nipo katika mbingu ya saba’, aliambia tovuti ya calciomercato.com

Chanzo: SkySports

Advertisements

Posted on June 6, 2012, in Mpira. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: