J. Cole arudi nyumbani Anfield


Joe Cole

Joe Cole amepewa nafasi ya kunusuru kibarua chake na kocha mpya Brendan Rodgers.

Mchezaji huyo mwenye miaka 30 amekuwa akitajwa kuhamia West Ham baada ya kucheza kwa mwaka mmoja kwa mkopo huko Ufaransa.

Kwa ujio wa Rodgers waliokuwa wote Chelsea umempa matumaini mapya ya kurudi Anfield.

‘Joe Cole atabaki Liverpool’, Kocha wa Lille, Rudi Garcia akimwambia Canal. ‘Utawala mpya umeamua kumrudisha, tutamkumbuka sana’.

 

Advertisements

Posted on June 6, 2012, in Mpira. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: