Barca wamtaka Vermaelen.


Vermaelen

Barca wanataka kufanya mpango waweze msajili beki wa Arsenal Thomas Vermaelen baada ya kufeli kumpata beki wa AC Milan Thiago Silva.

Kocha wa Barca Tito Vilanova aliweka wazi ya kuwa Thiago Silva ndo angekuwa Usajili wake wa kwanza lakini hilo lilishindika baada ya kupeleka paundi mill 30 kwa ajili ya mchezaji huyo na kugundua Klabu ya PSG ya Ufaransa tayari ilashapeleka paundi mill 32 na bado ilikataliwa.

Baada ya kumsindwa Thiago Barca wameamia kwa Varmaelen ingawaje si siku nyingi mchezaji huyo aliapa kukaa Arsenal milele.

Barca wanamtaka beki huyo kwasababu anauwezo wa kucheza ka beki wa kati, beki wa pembeni na kama kiungo mkabaji.

Chanzo: Dailymail 

Advertisements

Posted on June 6, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: