Ronaldinho hatui tena Uingereza.


Ronaldinho

Mchezaji huyo wa zamani wa Barcelona Ronaldinho ameamua kujiunga na Klabu ya Atletico Mineiro ya nchini Brazil na kufanya uvumi wa  wa kuwa angejiunga na klabu za Uingereza kuishia hewani.

Mchezaji huyo ambaye amejiunga na Mineiro akitokea Flamengo, ameihama Klabu hiyo ya Flamengo kwa kudai kuwa anaidai Klabu hiyo paundi mill 12 kama mshahara wake ambao mpaka sasa hajalipwa hata senti.

Msemaji wa mchezaji huyo ambaye pia ni kaka yake, Roberto de Assis, alidhihirisha ya kuwa maongezi na Atletico yalikuwa yanaendelea vizuri  na kuwa itakuwa ni Klabu nzuri kwa kaka yake.

Atletico Mineiro wameamua kutupia mbali wazo waliokuwa nalo mwanzoni la kutaka msajili kiungo wa zaman wa Lyon Juninho baada ya kumpata Ronaldinho.

Klabu hiyo ya Atletico haijapata ubingwa wa Brazil tokea mwaka 1971.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on June 5, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: