Pogba Aenda Juventus


Paul Pogba

Man Utd wanasubiriwa kudhibitisha kuwa kuongo wa kati Paul Pogba yupo Turin kumaliza uhamisho wake kwenda kwenye ligi ya Italia ‘Serie A’..

Kiungo huyo mwenye miaka 19 alikataa ofa ya Man Utd na anaweza akawa mchezaji wa kwanza kusajiliwa Juventus kwa kipindi hiki cha uhamisho.

Jumanne alisema kwenye mtandao wa Twitter ‘Nafikiria kuhusu maisha ya baadae, na nipo Itali na Juventus kujadili uhamisho wangu’.

Man Utd bado hawajasema chochote kuhusiana na hilo suala.

Chanzo: SkySports

Advertisements

Posted on June 5, 2012, in Mpira. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: