Kagawa Atua Man Utd


Shinji Kagawa

Manchester United wamethibitisha tayari wamefanya makubaliano ya kumuhamisha kiungo hatari Shinji Kagawa kutoka Borussia Dortmund.

Kiungo huyo aliyefika Dortmund akitokea klubu ya Cerezo Osaka anadhaniwa kupewa mkataba unaofikia poundi 12 milioni hadi poundi 17 milioni.

Kagawa ndio mchezaji wa kwanza kusajiliwa Man Utd kwa msimu na mpaka mwisho wa mwezi atakuwa amesha-sign mkataba wake kabisa kwakuwa sasa yupo katika timu yake ya taifa kwenye mashindano ya kugombania kucheza kombe la dunia huko Brazili.

Rio Fredinand ndio amekuwa wa kwanza kumkaribisha kwa kupitia mtandao wa Twitter akisema ‘Karibu Shinji Kagawa kwa uhamisho wako hapa Man Utd’.

Chanzo: SkySports

Advertisements

Posted on June 5, 2012, in Mpira. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: