Joey Barton akimbilia Twitter kujitetea.


Joey-Barton

Mchezaji wa QPR, J.Barton ameeleza ya kuwa ni kweli ugomvi ulitokea na ameumizwa lakini sio sana kama habari zilivyokuwa zikisambaa.

Joey Barton apigwa

Mchezaji huyo, jana alikamatwa na kuwekwa ndani kwa ajili ya kutoa maelezo ya mkasa huo ambao ulitokea jana saa 5:30 alfajiri katika jiji la Liverpool ambako mchezaji huyo alihusika katika ugomvi dhidi ya vijana wawili na kupelekea kuumizawa usoni. Polisi ndio waliokuja kuamulizia ugomvi huo na kuweza msaidia mchezaji huyo kuumizwa zaidi.

Joey Barton-Twitter

Barton ameelezea tukio hilo zaidi katika mtandao wa Twitter kwa kusema,
“Nilipigwa ngumu nzito sana kisogoni”.

“Majeraha nliyoyapata kichwa na katika sikio sio makubwa sana, nshawahi kuumia zaidi ya hapa kwa hiyo hainipi shida, nashukuru kwa kunijali na mchana mwema”

“Sina mpango wa kuwafungulia kesi vijana hao kwasababu polisi wanamambo mengi ya maana ya kufanya zaidi ya haya”

“Naomba niwashukuru polisi kwa msaada wao wa jana, walinsaidia sana”

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on June 5, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: