Cisse: Siondoki Newcastle


Papiss Cisse: Siondoki Newcastle

Papiss Cisse anaendelea kusema kuwa anataka kuendelea kubaki St. James Park kwa miaka mingi..Msenegali huyo amesema anataka kuisaidia klub yake ipate nafasi ya kucheza mashindano ya UEFA msimu unaokuja baada kushindwa kwa kiasi kidogo msimu uliopita..

Cisse amekuwa akiwindwa na klub nyingi ila ameendelea kusisitiza kuwa ataendelea kubaki Newcastle tena kwa kipindi kirefu.

Ameiambia SkySport kuwa ‘Nina furaha hapa Newcastle na nitaendelea kubaki kwa kipindi kirefu’.’Tulikuwa karibu kuingia UEFA kwahiyo msimu ujao natumaini tutaingia na kila mmoja ataonja utamu wa Ligi ya mabingwa’.

Msegali huyo alikosa penati katika mechi ya Senegal ya 3-1 dhidi ya Liberia jumamosi iliyopita, ila anasisitiza kuwa cha muhimu ni matokeo.

‘Nilichukia kukosa penati ila cha muhimu ni sisi kushinda mechi’. ‘Kipindi kingine ninaweza kushinda. Nimewachukiza mashabiki wangu, ila kila mtu anaweza kukosa penati’.

Chanzo: SkySports

Advertisements

Posted on June 5, 2012, in Mpira. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: