Arsenal wamtoa Miyaichi tena..?


Ryo-miyaichi

Timu ya Southampton inataka kumsajili kinda wa Arsenal Ryo Miyaichi kwa mkopo hii ni baada ya winga huyo kufanya vizuri pindi alipokwenda kwa mkopo katika klabu ya Bolton.

Miyaichi bado hajawezi pata nafasi za kutosha katika timu ya Arsenal ili kuweza onyesha uwezo wake lakini aliweza dhihirisha kipaji chake alipokuwa kwa mkopo katika Klabu za Feyenoord na Bolton Wanderers.

Bolton nao pia wanamuhitaji tena kijana huyo wamchukue kwa mkopo ili aweze wasaidia kupanda daraja msimu ujao lakini Arsenal wenyewe hawataki mchezaji wao akachezee daraja la pili ila wanataka aende kwa mkopo katika Klabu ambazo zipo hapohapo daraja la Kwanza.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on June 5, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: