Arsenal Wamtaka Biglia


Lucas Biglia

Muagentina Lucas Biglia amebainisha kukutana na Arsenal kuhusu kuhamia huko msimu ujao..

Kapteni huyo wa Anderlecht mwenye miaka 26 ambae ameiwezesha timu yake katika nafasi ya pili ligi ya Ubelgiji, amewavutia matajiri wakubwa wa Ulaya.

Ingawa bado ana mkataba wa miaka mitatu na Anderlecht anaweza kuondoka kwa dau la paundi 8 milioni, ambayo inaweza kuwashawishi timu hiyo kumwachia tegemezi lao.

‘Real Madrid na Arsenal wamewasiliana na mimi’, amesikika akiliambia The Sun.

‘Nina mkataba na Anderlecht hadi mwaka 2015 ila wanajua kuwa nataka kuondoka’.

‘Kama timu itatoa kiasi kinachotosha, Anderlecht itabidi waniache’.

Chanzo: SkySports

Advertisements

Posted on June 5, 2012, in Mpira. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: