Tottenham wajitosa kwa Anelka.


Nicolas Anelka

Tottenham ni miongoni mwa Klabu ambazo zinaonesha nia ya kumsajili Nicolas Anelka. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 anataka kuondoka katika klabu anayoichezea ya Shangai Shenhua baada ya kutoona upinzani wowote katika ligi hiyo ya Uchina.

Klabu zingine za nchini Uingereza ambazo zinamfuatilia kwa Karibu mchezaji huyo wa zamani wa Chelsea ni West Ham ambayo ndo imepanda daraja msimu huu na Klabu ya QPR.

Chanzo: Dailymail 

Advertisements

Posted on June 4, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: