Manchester City wamtaka Fabricio Coloccini.


Fabricio Coloccini (kushoto)

Nahodha wa timu ya Newcastle Coloccini anafukuziwa na mabingwa hao wa ligi ya Uingereza (Man City).

Man City tayari wanamabeki Vicent Kompany na Joleon Lescott ambao kwa kiasi kikubwa wachezaji hao wameisaidia timu hiyo kuweza kutwaa ubingwa, lakini Mancini anaona bado nafasi hiyo (beki) inahitaji kuimarishwa zaidi.

Mwanzo alikuwa anataka kumsajili beki anayechezea timu ya Ajax Jan Vertonghen lakini mchezaji huyo mwenye asili ya Ubelgiji inaonekana atajiunga na Tottenham.

Mancini sasa macho yake ameyatupia kwa Coloccini, akitarajia ataweza mshawishi beki huyo kutua Manchester.

Mchezaji huyo (coloccini) alikuwa na msimu mzuri kiasi cha kuweza kuwekwa katika orodha ya wachezaji bora wa ligi.

Kama Coloccini akitua Man City atatoa ushindani mkubwa kwa Kompany na Lescott zaidi ya ushindani uliokuwa ukitolewa na Kolo Toure na Stefan Savic.

Alan Pardew kocha wa Newcastle nae amesema hatoruhusu wachezaji wake tegemeo kuondoka msimu huu, hii ikimjumuisha Coloccini pia.

Chanzo : Metro

Advertisements

Posted on June 4, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: