Junior Hoilett aenda Borussia.


Junior Hoilett

Mchezaji winga wa timu ya Blackburn Rovers Junior Hoilett inasemekana anakaribia kujiunga na klabu ya ujerumani ya Borussia Monchengladbach.

Borussia inaaminika wameshinda mbio za kumnyakuwa mchezaji huyi ambaye amekuwa akiwindwa na Klabu nyingi toka hapohapo Uingereza, Ufaransa na Ujerumani.

Hoilett inasemekana atasaini mkataba wa miaka minne na timu hiyo ya Ujerumani ambayo ilimaliza katika nafasi ya nne katika ligi ya nchi hiyo msimu uliopita.

Chanzo: Caughtoffside.

Advertisements

Posted on June 4, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: