Vidic kurudi msimu ujao fiti


Nemanja Vidic

Nemanja Vidic ameipata Timu ya Manchester Utd matumaini baada ya kuruhusiwa na madaktari aanze mazoezi ya uwanjani na wenzake.

Mchezaji huyo anayetokea nchi ya Serbia alipata majeraha ya goti katika mechi dhidi ya Basel katika mashindano ya UEFA.

Mchezaji huyo hatoweza jiunga na Man Utd katika mechi za maandalizi lakini atakuwa nao pindi msimu utakapoanza mwezi wa nane.

” Ninaweza kukimbia na kupiga mpira sasa hivi, haya ni maendeleo mazuri na ishara ya kuwa nimepona. Miezi minne nliyokuwa nje ya uwanja ilikuwa ni miezi migumu sana kwangu.
Lakini sasa ninafuraha tena, kilichobakia ni kujitahidi na matibabu zaidi na mambo yakienda vyema basi nadhan ntakuwa fiti kabla msimu ujao haujaanza.

Chanzo: Thesun

Advertisements

Posted on June 3, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: