Liverpool wamtaka Dos Santos.


Giovani Dos Santos

Inasemekana Liverpool wanapanga kumnunu winga wa Timu ya Tottenham Giovani Dos Santos.

Liverpool wameshaanza kuiimarisha timu hiyo ambayo sasa inafundishwa na kocha mpya Brendan Rodgers. Klabu hiyo inatarajiwa kusajili wachezaji ambao wataisaidia timu hiyo kurudi top four na kuifanya Liverpool kucheza Champions League tena.

Rodgers alikuwa anamtaka Dos Santos kwa mkopo wakati yupo Swansea na kupitia habari za karibu zaidi inadaiwa Kocha huyo bado anamtaka mchezaji huyo na kuwa si punde mchezaji huyo atatua Anfield.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on June 3, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: