Liverpool wamtaka Dempsey na Sigurdsson.


Brendan Rodgers

Kocha mpya wa Liverpool Brendan Rodgers amewasema wachezaji Gylfi Sigurdsson na Clint Dempsey kuwa ndo utakuwa usajili wake wa kwanza.

Rodgers ameahidi kukiimarisha kikosi hicho cha Liverpool na kuanzisha staili ya mpira wa pasi kama aliokuwa akiutumia Swansea.

Sigurdsson

Anatarajia kumuiba kiungo Sigurdsson ambaye timu yake ya zamani ya Swansea inataka kumsajili na pia anataka kumsajili mshmbuliaji toka Fulham Clint Dempsey.

” Nilipoongea na Mwenyekiti wa Timu ya Swansea nilimwaambia ya kuwa mie naelekea Liverpool lakini Sigurdsson amekuja hapa kunifuata mie  na timu ya Swansea namuhitaji kwa sababu haina mchezaji kiungo ambaye anafunga magoli, lakini mwisho wa siku uamuzi unabakia kwa Sigurd, kama bado atakuwa sokoni sio siri ntapenda aje nlipo na sitosita kumchukua” alisema kocha wa Liverpool.

clint dempsey-kulia

Mshambuliaji wa Fulham nae amebakiza mwaka mmoja tu katika mkataba wake na Fulham na inasemekana mchezaji huyo hataki ichezea tena Klabu hiyo.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 3, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: