Ferguson awataka Modric, Tiote na Baines.


Timu ya Man Utd imeambiwa inapaswa kutoa  paunsi mill 72 ili kuweza kuwapata Modric, Baines na Tiote.

Sir Alex anataka kuimarisha nafasi ya kiungo ya timu yake na nafasi ya beki wa kushoto ambayo inamilikiwa na Evra.

Lakini Alex angoma kutoa paundi mil 32 kwa ajili ya Modric na paundi mil 20 kwa ajili ya Tiote na Baines.

Modric £32m

Habari toka ndani ya United zimesema, ” Ni kweli tunawataka wachezaji hao, lakini Alex hawezi toa hela nyingi hivyo kwa wachezaji hao.”

Baines £20m

Kwa sasa kocha huyo yupo Ufaransa akila likizo yake huko akifikiria njia mbadala ya kuweza imarisha kikosa chake hicho. Lakini kuchelewa kwako kufanya maamuzi kunawapa timu nyingine kuwafuata wachezaji hao. Chelsea wapo tayari kutoa paundi mil 20 kwa ajili ya Tiote.

Chanzo: Dailymail. 

Advertisements

Posted on June 3, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: