Nani aondoka Man Utd.


Nani

Winga wa Man Utd ,Nani anataka kuondoka klabuni hapo ingawa ameahidiwa kupewa donge nono katika mkataba wake mpya.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 amekaa klabuni hapo kwa muda wa miaka mitano (5). Alijiunga na Man Utd akitokea klabu ya Ureno ya Sporting Lisbon mwaka 2007.

Akihojiwa na TV ya Ureno alisema,” Ninafuraha lakini sijui mbele itakuwaje. Kwa sasa naangalia nafasi zitakazo jitokeza na kuziangalia kwa umakini. Mpira sio Uingereza tu na Hispania, unaweza furahia mpira hata ukiwa nchi zingine. Muongeaji wangu wanawasubiria Man Utd wamjibu ombi letu tulilopeleka la mie kupandishiwa mshahara”.

Nani amebakiza miezi 18 katika mkataba wake aliokuwa nao na Man Utd.

“Kwa sasa najiandaa na EURO, nataka nshinde mashindano hayo kwani tuna timu nzuri na pia mie na C.Ronaldo ndo mawinga bora duniani kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa wa kutwaa ubingwa.”

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 2, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: