Maradona amtaka Drogba.


Drogba

Diego Maradona anafikiria kumchukua Drogba ili aisaidie timu yake ya Al Wals.

Diego Maradona

Mchezaji huyo anafikiria na kujiunga na Klabu ya Uchina ya Shanghai Shenhua lakini timu hiyo ya Maradona ya Uarabuni inaweza ikaingilia kati na kumnyakuwa mchezaji huyo.

Shanghai ipo tayari kutoa paundi mill 300,000 kama mshahara kwa mchezaji huyo kwa wiki lakini habari toka Uarabuni zasema timu ya Al Wasl pia inaweza mlipa mchezaji huyo mshahara huo.

Mchezaji huyo yupo njia panda kufikiria ni timu ipi ajiunge nayo huku akitoa kiapo cha kutojiunga na Klabu nyingine yoyote ya Uingereza.

Chanzo: Dailymail.

Advertisements

Posted on June 2, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: