Man City na Liverpool wamtaka Ramirez.


Gaston Ramirez (mbele)

Klabu ya Bologna imesema bei ya mchezaji wao Gaston Ramirez ni paundi mil 20.

Mchezaji huyo anayetokea nchi ya Uruguay inasemekana ataondoka kipindi hiki cha kiangazi na timu za Liverpool, Man City na Juve zote zinamtolea macho.

Msemaji wa Ramirez, Pablo Betancourt alisema, ” Ni wazi kuwa Bologna watafaidika na kuuzwa kwa mchezaji huyo kwani asilimia 70% zitaenda kwa Bologna na 30% zitaenda kwa Penarol Klabu ya zamani ya Ramirez.

Klabu ya Ujerumani ya Wolfsburg wameshatoa kiasi cha fedha kinacho kadiriwa kuwa paundi mil 15 mpaka 18.

Kwa Liverpool hali bado haijaeleweka vizuri kwasababu ndo kwanza wamemchagua kocha jana.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 alijiunga na Bologna 2010 na ameweza kufunga magoli 8 katika mechi 33 za ligi hiyo ya Italia.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 2, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: