Brendan :Nataka Timu zikija Anfield zilie.


Brendan Rodgers

Kocha mpya wa Liverpool alipotangazwa rasmi jana Ijumaa, alitumia mda kukaa na vyombo vya habari ili kuhojiwa na huku nyimbo ya maarufu hapo Anfield ambayo inaeleza ya kuwa ushindi upo karibu.

Brendan Rodgers

Ingawaje Klabu hiyo imejaaliwa Historia lakini Rodgers alikuwa na mkakati mmoja tu wa kuipeleka Klabu mbele na sio kustaajabu historia.

Rodgers ni mzaliwa wa Ireland kaskazini ambako karibia familia yake yote ni mashabiki wa Liverpool tokea miaka 39 iliyopita, kwa hiyo Rodgers kaja nyumbani.

Rodgers amechaguliwa na FSG ili aweze ifanya Liverpool iwe ile Liverpool ya enzi ambayo ikija mtaani kwako unajua leo ni kipigo tu.

” Natarajia leo itakuwa mwanzo mpya wa Klabu hii na nategemea mwanzo huu utapelekea mafanikio Miaka ya mbele. Kwa kweli nadhani Liverpool ni moyo wa Mpira na watu ambao wamefanya kazi hapa na kucheza hapa ni watu wakipekee. Nahisi nimebarikiwa kuweza kuwa hapa na ntapigana kufa kupona kudhihirisha nastahili nafasi hii. Katika Klabu hii mashabiki ndo nguzo ya Timu na inahitajika waridhike pia. Kuna wachezaji wengi wenye viwango vya juu hapa na kilichobakia ni kuhakikisha tunaleta matokeo mazuri.

Rodgers amekuja Liverpool huku akiweka wazi anakuja lakini swala lakuwa chini ya Mkurugenzi wa mpira halitaki na kuwa yeye ndo anamamlaka yote kuhusiana na maswala ya usajili.

Rodgers anataka kuifanya Liverpool iwe timu ambayo tishio kiasi kwamba kila timu iwe inaogopa kuja Anfield.

Chanzo: Dailymail.

Advertisements

Posted on June 2, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: