Balotelli utakuwa lini lakini..???


MARIO BALOTELLI

Ana kipaji sio cha uwanjani peke yake ila mpaka cha kukera watu.

Mshambuliaji huyo wa Manchester City alionekana katika Kamera akimkera mchezaji mwenzake wa timu ya taifa ya Italia Thiago Motta ambaye wanajianda nae kwa ajili ya mashindano ya UERO pindi walipokuwa wanataka kupiga picha ya timu.

Wakatati wanajiandaa kupiga picha Balotelli aliiharibu tai ya Motta kwa maksudi ili ionekane vibaya pindi picha itakapo pigwa, kitendo hicho kilimkera Motta mpaka akaamua mpiga kibao Balotelli sema uzuri Balotelli hakurudishia katika ugomvi huo msuluhishi alikuwa ni Giorgio Chiellini.

Mwanzo wa mwaka huu Kocha wa timu ya taifa ya Italia alimwambia Balotelli kuwa anahitaji kukua kiakili nakuacha utoto kama atataka kuheshimiwa.

Lakini ni wazi kuwa Balotelli hajakuwa.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 2, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: