Sneijder aelekea Manchester.


Wesley Sneijder

Man City wamewapiku mahasimu wao Man Utd katika usajili wa kiungo Wesley Sneijder.

Man Utd ndio walikuwa wanapewa nafasi kubwa ya kumpata kiungo huyo toka Inter Milan.

Kwa hiyo mchezaji huyo yupo mbioni kuja Manchester lakini sio United ila Man City.

Uhamisho huo itabidi ufanyike baada ya mashindano ya UERO ambayo Sneijder anashiriki kupitia timu yake ya taifa ya Uholanzi.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 1, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: