Peter Schmeichel arudi Man Utd.


Peter Schmeichel

Peter Schmeichel amerudi Manchester United kwa mara ya kwanza tokea alivyoondoka 1999.

Kipa huyo wa zamani wa Man Utd amerudi tena katika timu kwa ajili ya kuwa Balozi wa timu hiyo, ingawaje tetezi zingine zadai anaweza kuwa pia kocha wa makipa.

Klabu imekuwa na furaha baada ya mchezaji wao huyo wa zamani kurudi klabuni hapo.
Mara ya mwisho mstaafu huyo kuichezea Man Utd ilikuwa mwaka 1999 katika mashindano ya Champions League dhidi ya Bayern Munich katika uwanja wa Nou Camp. Alimaliza mwaka huo kwa mafanikio makubwa.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 1, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: