Mourinho: Brendan ni SPECIAL one pia.


Jose Mourinho

Jose Mourinho anaamini kocha mpya wa Liverpool Brendan Rodgers atarudisha furaha kwa mashabiki wa Liverpool tena.

Kocha huyo mpya wa Liverpool alishawahi fanya kazi na Jose katika timu ya Chelsea na Mourinho akasema yakuwa Rodgers ni SPECIAL one pia na kuwa Rodgers anastahili nafasi hiyo baada ya kazi nzuri aliyoifanya akiwa na timu ya Swansea.

Mourinho alisema,
“Nimefurahishwa sana na kuchaguliwa kwake kuwa kocha wa Liverpool na hii ni kutokana na kazi yake nzuri aliyoifanya akiwa Swansea. Brendan ni mtu mzuri sana, baba mzuri wa familia na rafiki mzuri sana. Alipojiunga nasi Chelsea alikuwa bado kocha mdogo na mwenye njaa ya kujua mengi lakini pia alikuwa kocha mwenye mawazo ambaye alikuwa yupo tayari kuskiliza mawazo ya wengine”.

Rodgers atatangazwa kuwa kocha mpya wa Liverpool rasmi leo ijumaa.

Chanzo: thesun

Advertisements

Posted on June 1, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: