Man Utd yamtaka Alba.


Jordi Alba

Man Utd itapigana vikumbo na timu ya Barcelona ili kuweza kupata saini ya Beki Jordi Alba anayechezea timu ya Valencia.

Habari toka Hispania zinasema  Barcelona ndio wanauwezekano mkubwa wa kumsajili beki huyo wa kushoto ingawaje Alex Ferguson atapigana hadi mwisho ili ampate beki huyo ambaye ndo atakuja ziba pengo la Evra pindi atakapo staafu.

Alba anasifika kuwa ni miongoni mwa mabeki bora wanaochipukia na klabu nyingi zinamtolea macho ili kuweza kumsajili.

Habari toka Hispania zadai mkurugenzi wa mpira wa Klabu ya Valencia Braulio Vazquez ameshaongea na Barca kwa ajili ya kumpata mchezaji huyo.

“Barcelona wanamtaka kwasababu anaasili ya Cataluna na pia kwa sababu anachezea upande wa kushoto”.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 1, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: