Kocha mpya wa Liverpool ahama na wachezaji.


Rodgers

Kocha mpya wa Liverpool B.Rodgers tayari ameshaanza kutafuta wachezaji ambao atawaleta Liverpool na wachezaji ambao anaweza waleta ni kutoka Swansea.

Sigurdsson

Wachezaji anaoweza waleta ni Gylfi Sigurdsson abae yupo Swansea kwa mkopo. Mchezaji huyo alitakiwa ajiunge na Swansea baada ya kuichezea kwa mkopo lakini kutokana na Kocha wake kuhamia Liverpool basi kuna uwezekano mkubwa mchezaji huyo kuja Merseyside.

Scott Sinclair

Mchezaji mwingine ni Scott Sinclair. Mchezaji huyo ameisaidia sana timu yake ya Swansea kuweza kumaliza katika nafasi ya 11 katika ligi.

Mtu mwingine ni Mohamed Diame, mchezaji huyo alitaka kujiunga na Liverpool katika kipindi cha Utawala wa Kenny Dalglish lakini kufukuzwa kwa Kenny kukaweka uhamisho huo matatani lakini sasa uhamisho huo utafanyika na tarehe 1 ya mwezi wa saba (7) atasajiliwa rasmi.

Chanzo: Dailymirror

Advertisements

Posted on June 1, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: