Vermaelen : Arsenal mpaka kustaafu.


 

Vermaelen

Beki wa Arsenal Thomas Vemaelen amesema ya kuwa atafurahi kama atamalizia mpira wake akiwa ndani ya Klabu hiyo ya jijini London.

Mchezaji huyo wa Ubelgiji mwenye umri wa miaka 26 ambaye anatarajia kuichezea timu yake ya Taifa wikiendi hii dhidi ya Uingereza amesema hana mpango na wala hafikirii kuihama Klabu hiyo ya Arsenal.

Vermaelem akaendelea kusema ya kuwa anayafurahia maisha yake ya hapo Klabuni na kuwa angependa kuumalizia mpira wake akiwa klabuni hapo.

” Ntabakia Arsenal milele. Hapatokuwa na kuhama kwenda klabu yoyote kwa upande wangu. Nalipenda jiji la London nina nyumba hapo, nina furaha kwa hiyo sioni sababu yoyote ya kunifanya nondoke” alisema Vermaelen.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on May 31, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: