Manchester Utd, Chelsea na Arsenal zamfuatilia Yevhen.


Yevhen Konoplyanka

Yevhen Konoplyanka ambaye inasemekana ni Messi wa Ukraine, mchezaji huyo anataka achezee katika klabu ambazo zinashiriki Champions League.

Klabu za Arsenal,Man Utd na Chelsea zote zinamfuatilia kijana huyo inagawaje mmiliki wa klabu Dnipro yupo tayari kutoa kitita cha fedha ili kuweza mbakiza mchezaji huyo.

Chanzo: talkSPORT

Advertisements

Posted on May 31, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: