Chelsea wamuongezea mkataba Bertrand.


Ryan Bertrand kulia

Timu ya Chelsea wanapanga kuongea na Ryan Bertrand kwa ajili ya kuweza kumfanya asaini mkataba mpya ambao utamfanya abakie katika klabu hiyo kwa mda mrefu zaid.

Bertrand ameweza kuwika msimu huu kwa kuweza kuziba pengo la Ashley Cole pindi Cole alipokuwa majeruhi na pia akaweza kuimudu nafasi ya kiungo wa kushoto katika Fainali ya UEFA dhidi ya Bayern Munich.

Mwaka jana mchezaji huyo alisaini mkataba wa miaka minne (4) na Chelsea lakini Chelsea wmeamua kuongea nae ili asaini tena mkataba utakao mfanya akae mda mrefu katika klabu hiyo.

Mchezaji huyo alisajiliwa akitokea klabu ya Gillingham miaka saba (7) iliyopita na akafanikiwa kuweza mechi 17 msimu huu na hivyo kumpa matumaini ya kuwa msimu ujao atacheza mechi nyingi zaidi.

Katika mashindano ya Olympic ndio mchezaji ambaye anatarajiwa atakuwa beki wa kushoto wa timu ya Great Britain na vilevile anatarajiwa kuwa mrithi wa Ashley Cole katika timu ya taifa katika miaka ijayo.

Chanzo: Dailymail.

Advertisements

Posted on May 31, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: