Chelsea wamtaka Dembele.


Dembele kushoto

Chelsea wanataka msajili mbelgiji mwengine msimu huu ambaye ni kiungo wa timu ya Fulham Moussa Dembele.

Baada ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa kibelgiji kutoka klabu ya Ufaransa ya Lille Eden Hazard kwa ada ya paundi millioni 32, timu hiyo sasa imehamisha macho yake kwa Dembele.

Dembele amebakiza mwaka mmoja tu katika mkataba wake aliokuwa nao na timu ya Fulham na amekataa kusaini mkataba mpya aliopewa na kocha wake Martin Jol.

Manchester Utd, Arsenal na Tottenham wote wanamfuatilia mchezaji huyo kwa karibu lakini tetesi zinasema mchezaji huyo anaasilimia kubwa ya kujiunga na Chelsea zaidi.

Chanzo: Dailymail 

Advertisements

Posted on May 31, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: