Arsenal yamnyemelea Kalou.


Salomon Kalou

Arsenal wapo katika harakati za kumleta Kalou Emirates, wapo tayari kumnunua mchezaji huyo ambaye kwa sasa ni mchezaji huru ili aweze kubakia nchini Uingereza.

Schalke klabu ya Ujerumani inasemekana kuwa inakaribia kumsajilia mchezaji huyo lakini Arsenal hawatokata tamaa ya kumsajili mchezaji huyo mpaka dakika za mwisho.

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger anavutiwa sana na uchezaji wa Kalou na laishawahi kutaka msajili katika dirisha dogo la usajili (Januari) lakini hawakufikia maelewano katika swala la mshahara wa mchezaj huyo.

Kutokana na mchezaji huyo kuwa huru, kocha wa Arsenal yupo tayari kumpatia kalou mkataba wa miaka minne ili aweze jiunga na klabu hiyo ya Arsenal. Wenger anaamini Kalou ataongeza ushindani katika nafasi za kiungo na ushambulizi.

Chanzo: Caughtoffside.

Advertisements

Posted on May 31, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: