Arsenal waongea na Seydou Doumbia.


Doumbia

Arsenal wako mbioni kuongea na Klabu ya Urusi CSKA Moscow kwa ajili ya kuweza msajili mshambiliaji wao aitwaye Seydou Doumbia.

Mshambuliaji wa Montpellier, Olivier Giroud ni mchezaji ambaye Arsenal wanamfuatilia kwa karibu lakini sasa wameamua kumfuatilia Doumbia pia iwapo kama watamkosa Giroud.

CSKA wamesema mshambuliaji huyo hatouzwa kwa bei chini ya paundi millioni 26.

Muicory Coast huyo (Doumbia) mwenye umri wa miaka 24, msimu huu ulioisha amefunga magoli 38.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on May 31, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: