Van der Vaart kwenda Schalke..?


Rafael van der Vaart na mkewe

Rafael van der Vaart inasemekana anataka kuihama klabu yake ya Tottenham baada ya klabu ya Schalke kutoa ada ya paundi millioni 10 ili iweze mnyakua mchezaji huyo.

Habari za karibu zinaeleza ya kuwa maongezi baina ya klabu hizo mbili yameshaanza na Van der Vaart atafurahi kujiunga na klabu hiyo ya Ujerumani ili aweze pata nafasi za kucheza kila siku na pia akihamia Ujerumani itakuwa vizuri kwasababu atakuwa karibu na mkewe anyefanya kazi katika Television ya Ujerumani ambayo ipo mji wa Cologne ambayo ni km 100 toka uwanja wa Klabu ya Schalke.

“Sitaki kusema chochote kwa sasa, mawazo yangu na  akili yangu yote nimeielekeza katika mashindano ya EURO”. Alisema Van der Vaart.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on May 30, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: